m

"If you want to conquer fear, don't sit at home and think about it. Go out and get busy. "

-- Dale Carnegie, motivational expert

Saturday, 6 July 2013

Ndege Boeing 777 yaanguka Marekani

Video from the scene posted on YouTube shows dark gray smoke rising from the aircraft.Habari mpasuko kutoka shirika la habari CNN zinaripoti kuwa ndege kubwa aina ya Boeing 777 ya kiasia imeanguka ilipokuwa ikitua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa San Frasinco marekani. Moshi mweuzi umeoneka ukifuka kutoka ndege ilipoanguka na bado hakujaripotiwa ikiwa kuna majeruhi au vifo vyovyote.
Kwa habari zaidi kwa lugha ya kiingereza unaweza tembelea http://www.cnn.com/2013/07/06/us/california-plane-incident/index.html?hpt=hp_t1