m

"If you want to conquer fear, don't sit at home and think about it. Go out and get busy. "

-- Dale Carnegie, motivational expert

Sunday, 17 March 2013

Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya

Gesi nyingine yangunduliwa Mbeya eneo la Isebe, Tukuyu.
Ni liquid Carbon dioxide sawa na ile ya Kyejo, Mwakaleli, uzinduzi wake kufanyika karibuni. Gesi hii ni muendelezo wa uchimbaji wa Gesi katika ukanda huo ambayo awwali ilikuwa ikichimbwa eneo moja tu la Kyejo huko Mwakaleli na kammpuni ya TOL GASES LTD.
Ama kweli ule usemi kuwa kila mahali unapokanyaga Tanzania ni madini tu.
Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?Swali ni kuwa je sasa ni lazima kila madini yanapogunduliwa yachimbwe haraka?

 Eneo jipya litakalochimbwa gesi na kampuni ya TOL, Isebe, Tukuyu