KII ipo kwa ajili yako kukuhudumia, kuhakikisha PC yako haikupi tabu kwani imejiandaa kwa kila namna kwa program mbalimbali za computer. Na sasa timu nzima imesambaa zaidi kwani tunapatikana Mbeya- Sae Internet Cafe na Gladiness Stationary, Iringa-RUCO na Dar Es Salaam- St. John's University, Buguruni.
Pia tunaendelea kutoa huduma mbalimbali za publishing, designing, graphics na kazi mbalimbali zihusuzo teknolojia ya Kompyuta. (IT)