m

"If you want to conquer fear, don't sit at home and think about it. Go out and get busy. "

-- Dale Carnegie, motivational expert

Sunday, 28 July 2013

Nionavyo juu Muundo wa Muungano wa Tanzania

Kwanza napendekeza serikali ya Muungano wa kuwa na serikali moja yenye majimbo na magavana. Mfano Marekani kwani ndio mfano wa muungano bora uliodumu kwa muda mrefu na pia hauna gharama kubwa kama shirikisho la serikali tatu
Pia serikali tatu itatugawa zaidi.
Kama ikishindikana basi iwe shirikisho la serikali tatu lakini kwa masharti ya kurejesha serikali Tanganiyika kwani inashangaza kuzungumzia Tanzania bara na Zanzibar tunajua fika kuwa hakuna serikali ya tanzania bara isipokuwa baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuunda Tanzania. hivyo basi kama inarejeshwa Zanzibar basi irejeshwe na Tanganyika.

Tafadhali toa maoni yako kwenye kiunga kulia.