m

"If you want to conquer fear, don't sit at home and think about it. Go out and get busy. "

-- Dale Carnegie, motivational expert

Tuesday, 12 June 2012

KARIBU

CASFETA-TAYOMI
TANGAZO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA NA CHETI
Bwana asifiwe....
Tunayo furaha kuwakaribisha wanafunzi wa diploma na cheti ambao ni wanaCASFETA au waliwahi kuwa wanaCASFETA AU wanataka kujiunga na CASFETA st.John's University-Dsm na kushiriki ibada zetu za CASFETA-TAYOMI zinazofanyika kila ijumaa ukumbi wa LT3 saa 12:00-13;00 mchana, pia mnaombwa kujisajiri ili kupanga utaratibu mzuri wa ibada kipindi cha likizo ya wanafunzi wa shahada. unaweza kujisajiri kwa kutuma jina kamili kwenda kwa 
Peter Kapagi
Mwenyekiti
0764734620/0658734620
Samwel Furaha
Katibu
0714480363