Nafikiri serikali ingeangalia kwanza kuhusu suala la chakula. Kwani wazazi wanaoshindwa kumusu ada ya sh. 20000 tu wataweza vipi kumudu gharama za chakula za sh. 75,000 kwa mwaka? Watanzania maskini wanaoishi chini ya dola 1 wanaweza kupata 1000 ya kula kwa siku na wanae lakini hawawezi kukusanya 75000 kwa siku na kuzipeleka kulipia chakula kwa mwanafunzi. Na fikiri pia kwa wenye wanafunzi watatu au wanne hivi itakuwa shilingi ngapi?
Tufikiri sana
Nagona, kwa leo.
Tufikiri sana
Nagona, kwa leo.