*Adaiwa kuchakachua mashine ya kusafisha figo
*Aelezwa aliiitoa Muhimbili kuipeleka Aga Khan
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni
Lini Serikali itairudisha mashine ya kusafisha figo iliyohamishwa kutoka Muhimbili na aliyekuwa Katibu Mkuu kwa kushirikiana na daktari wa hospitali hiyo na kuipeleka katika Hospitali ya ‘private?’, alihoji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid alisema asingeweza kujibu swali hilo kwa kuwa hakuwa na taarifa kamili.
No comments:
Post a Comment