Leo nimekumbushwa mbali kwa maajabu aliyofanya kanali Mnali aliyewachapa walimu viboko. hakika ni tukio baya kuwahi kutokea hasa kwa mtu mkubwa kama yeye, alituongoza kutokuwa na heshima na maadili. Walimu wote waungane kulaani uonevu
Kama uliwahi kusikia mkuu wa
wilaya ya Bukoba, Bwana Albert Mnali aliyewachapa walimu viboko ni huyo mwenye miwani na koti jeusi (aliyezungushiwa duara jeusi) aliweka
historia Tanzania,kipindi hicho alikuwa mkuu wa wilaya ya Bukoba na
taarifa ni kwamba aliwachapa
viboko walimu wa shule tatu za Katerero, Kanazi na Kasenene katika mkoa
wa Kagera.
No comments:
Post a Comment