Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatoa Waraka kuhusu vigezo
vya kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano ili kuwaongoza
wamiliki wa Shule za Sekondari zenye Kidato cha Tano katika
kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano, mwaka 2015. Waraka
huu utatumika kwa shule zote, yaani za Serikali na zile
zisizokuwa za Serikali.
No comments:
Post a Comment