Friday, 2 March 2012

Uhuru wa Kweli

Hakuna uhuru pasipo sheria. Sheria humfanya  mtu afanye mambo kwa uhuru na kwa tahadhari ya kutovunja zisizoonekana. Ninamshangaa mtu anayeogopa sheria.

No comments:

Post a Comment