Tuesday, 14 February 2012

Ujumbe wa Mkurugenzi "Masssage from Director"

http://www.facebook.com/photo.php?fbid=247475595303710&set=a.123495471035057.29797.100001238147222&type=3&theater
Ni rahisi mno kuomba utendewe vizuri na watu wengine lakini mioyo ya wengi hupenda kuwatendea wengine vibaya, Ni vema kila mara kujitahidi kadri uwezavyo kuwatendea wengine vizuri na hiyo ndio falsafa nzuri ya maisha

No comments:

Post a Comment