NduguMsomaji ukitazama picha za kuagwa na mazishi ya Baba yetu Askofu Moses Kulola ni kama kama kazikwa kitaifa kutoka na mahudhurio ya viongozi mashuhuri wa makanisa na serikali. Ama kwa hakika hata Jeshi la ulinzi (JWTZ) limeshiriki kikamilifu katika msiba huo katika kuwasaidia watu waliokuwa wanazimia kutokana na maombolezo. | | |  |
No comments:
Post a Comment