Bwana asifiwe...
Hatimae kumefanyika kikao cha viongozi wa CASFETA waliowahi kuwa CASFETA mkoa wa Mbeya. Mjadala ulikuwa juu ya kuanzisha ushirikiano kwa wanaCASFETA waliowahi kuwa Mbeya na sasa wanaishi au kusoma Dar. Mjadala ulikuwa safi na muhimu ikiwa ni pamoja na kuangalia namna tutakavyoweza kufanikisha kambi la Pasaka la Mbeya.
Nawakaribisha watu wote waliowahi kushiriki CASFETA mkoa wa Mbeya wanaoishi Dar kwenye kikao kitakachofanyika siku ya Jumamosi saa 10:00 jioni Landmark Hotel.
Kama unaona unahusika USIKOSE KABISA na mwalike na mwingine.
Mubarikiwe.
No comments:
Post a Comment