Thursday, 9 February 2012

Matokeo ya NECTA mabaya

Tumepokea matokeo mabaya kabisa ya NECTA 2011, Je nini kimesababisha? wapo wenye kulaumu usahishaji, wapo wenye kulaumu walimu lakini mimi nataka tufikiri pia juu ya uwezo wa wanafunzi ambao sasa wamesheheni mistari ya Bongo fleva na simu zilizojaa picha za ngono na sms za mapenzi.

Tafakari

No comments:

Post a Comment