m
"If you want to conquer fear, don't sit at home and think about it. Go out and get busy. "
-- Dale Carnegie, motivational expert
Wednesday, 14 August 2013
CASFETA SJUTDSM: Picha za matukio ya Mkutano wa Injili Bigwa Morogoro
Ufafanuzi wa picha hizi utaendelea kutolewa...Tafadhali endelea kufuatilia upate visa na matukio ya kambio hiyo ya Injili iliyofanywa na wanaCASFETA wa St. John's Dar es Salaam.
Friday, 9 August 2013
Mkutano Mkubwa wa Injili wa CASFETA-SJUTDSM unaendelea Bigwa Morogoro
Mkutano wa injili maarufu kama Outreach wa CASFETA-ST. JOHN'S ambao umeanza tangu jumatano unaendelea kwa shangwe kuu Viwanja vya Bigwa, Lukuyu miembe miwili na hadi sasa watu 54 wakwishampokea Yesu Kristo wa Nazareth awe Bwana na Mwokozi wa Maisha yao.
Hebu tuangalie picha na matukio tangu kuwasili Mjini morogoro.
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Shayo Felix akiimba kwa hisia kali kwenye viwanja vya Bigwa, Morogoro
Mchungaji mwenyeji wa Kanisa la Elim Pentekoste Mwanzo Mgumu akifuatilia mkutano.
Mhubiri Andrew Wikesi akihubiri full dose siku ya kwanza Jumatano ya tar 07.08.2013
Siku ya pili ya mkutano viti havikukalika, mambo yamekaza na hapa Mwimbaji Felix Shayo anamsifu mungu kwa shwangwe kuu.
Mkutano ni mzuri kweli kweli ambapo pia umeambatana na semina ya ujasiriamali ambayo imekuwa ikiendeshwa na Mwl Peter Kapagi. Watu wote wanakaribishwa sana katika mkutano wapate haki, amani na furaha yao maana ufalme wa Mungu unashuka kwa kila autakaye.
Warumi 14:17
Mkutano ni mzuri kweli kweli ambapo pia umeambatana na semina ya ujasiriamali ambayo imekuwa ikiendeshwa na Mwl Peter Kapagi. Watu wote wanakaribishwa sana katika mkutano wapate haki, amani na furaha yao maana ufalme wa Mungu unashuka kwa kila autakaye.
Warumi 14:17
Tuesday, 6 August 2013
Mkutano Mkubwa wa Injili wa CASFETA-SJUTDSM
CASFETA tawi la Chuo Kikuu St. John's Dar Es Salaam limeandaa mkutano mkubwa wa Injili kama tangazo linavyoeleza. Kila mtu anakaribishwa kwani Bwana Yesu atakuwa anashughulia afya, uchumi na hali zote za mwanadamu, (Holisitic ministry).
Sunday, 28 July 2013
Nionavyo juu Muundo wa Muungano wa Tanzania
Kwanza napendekeza serikali ya Muungano wa kuwa na serikali moja yenye majimbo na magavana. Mfano Marekani kwani ndio mfano wa muungano bora uliodumu kwa muda mrefu na pia hauna gharama kubwa kama shirikisho la serikali tatu
Pia serikali tatu itatugawa zaidi.
Kama ikishindikana basi iwe shirikisho la serikali tatu lakini kwa masharti ya kurejesha serikali Tanganiyika kwani inashangaza kuzungumzia Tanzania bara na Zanzibar tunajua fika kuwa hakuna serikali ya tanzania bara isipokuwa baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuunda Tanzania. hivyo basi kama inarejeshwa Zanzibar basi irejeshwe na Tanganyika.
Tafadhali toa maoni yako kwenye kiunga kulia.
Pia serikali tatu itatugawa zaidi.
Kama ikishindikana basi iwe shirikisho la serikali tatu lakini kwa masharti ya kurejesha serikali Tanganiyika kwani inashangaza kuzungumzia Tanzania bara na Zanzibar tunajua fika kuwa hakuna serikali ya tanzania bara isipokuwa baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuunda Tanzania. hivyo basi kama inarejeshwa Zanzibar basi irejeshwe na Tanganyika.
Tafadhali toa maoni yako kwenye kiunga kulia.
Friday, 12 July 2013
GEOGRAPHY PARTY SJUT-DSM FULL JOY
Students completing bachelor degree in Geography subject at St. John's University of Tanzania (SJUT) -Dar es Salaam have a big party at LT 7 on Wednesday 10.07.2013. The party was arranged accordingly to share ideas and joy among students and Geography department staffs. Here are photos showing how the party was interesting.
Bites make geographers get together, here Peter Kapagi-KII director and other students sharing bites
Photos taken by James Mgeni under Kapagi Info Institute-KII
Graduants enjoying bites
John Janet, Papalika and madam Florida sharing ideas
Former Geography CR Kabuta acknowledging
Students pay attention to speech from geography lecturers
Popular student Sweke going to give the gift to Mr Baitu
Lecturers share ideas
Tusekelege, a popular students according her bantu name enjoying soft drink
Bites make geographers get together, here Peter Kapagi-KII director and other students sharing bites
Hot welcome to lectures
Unity photos
Lecturer Magava under critical thinking
High table under lecturer Mr Baitu was full of beautiful Flowers
Gift to Mr Magava provided by CR Jackline on behalf of Geographers
Madam adelina (3rd from right) among of the geography students wondering the goodness of the party.Photos taken by James Mgeni under Kapagi Info Institute-KII
Tuesday, 9 July 2013
KUNYWA MAFUTA YA UBUYU NI HATARI!
TFDA imebaini kuwa mafuta ya ubuyu yana tindikali inayosababisha saratani katika mwili wa binadamu. Tahadhari hiyo imetolewa kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Kwa habari zaidi bofya hapa
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/13865-mafuta-ya-ubuyu-ni-dawa-hatari
Saturday, 6 July 2013
Ndege Boeing 777 yaanguka Marekani
Kwa habari zaidi kwa lugha ya kiingereza unaweza tembelea http://www.cnn.com/2013/07/06/us/california-plane-incident/index.html?hpt=hp_t1
Subscribe to:
Posts (Atom)




























































