Kapagi pages

Dealers in; IT, Consultancy, blogs ,websites, Stationery and Secretarial Services and Entrepreneurship training. Find us at Kitiengare Enterprises- Buguruni Malapa Dsm

Wednesday, 19 June 2013

RASIMU YA KATIBA NA TANZANIA MPYA



salamu ndugu zangu,   habari ya kila mmoja wangu sina shaka kabisa kwamba unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku, Leo nianze kumshukuru Mungu mkuu na baba wa Bwana wetu Yesu kristo aliyetupa neema hii kubwa kwamba hata sasa tupo.Pia nipende kuwaalika ndugu zangu katiba kuijadili rasimu ya katiba mpya, pamoja nanyi tutajaribu kupitiia vipengele muhimu vya rasimu hiyo na kuon ani kwa namna gani vinaweza kuleta Tanzania yenye sura ya matumain mapya. Nchi ambayo raia wake sio tu watavumilia kuwa watanzania ila zaid sana kuipenda kwa moyo wote nchi yao ambayo bila kuchagua Mungu aliona iwe vema sisi kua watanzania.

Chosen Generation at 6/19/2013 07:12:00 pm No comments:
Share
‹
›
Home
View web version

Contributors

  • SONWORLDWIDE
  • Unknown
  • Unknown
  • Unknown
Powered by Blogger.